Skip to main content
Skip to main content

Wito watolewa kuimarisha amani miongoni mwa jamii za wafugaji Marsabit

  • | Citizen TV
    290 views
    Duration: 1:59
    Kwa muda mrefu, jamii za wafugaji nchini zimekuwa zikikumbwa na migogoro kuhusu mipaka, maeneo ya malisho na rasilimali za asili, huku Marsabit kaunti ikiwa miongoni mwa kaunti zilizoathirika zaidi.