Skip to main content
Skip to main content

Wito watolewa kuzuia mimba za watoto Nyamira

  • | Citizen TV
    595 views
    Duration: 3:05
    Shinikizo linatolewa kwa wadau mbalimbali kutafuta suluhu maalum inayolenga kukithi mahitaji ya watoto wanaopata ujauzito ili kuzuia visa hivyo kujirudia. Huku takwimu zikionyesha ongezeko la asilimia 4.9 la visa hivyo nchini, kaunti ya Nyamira, inaendeleza mpango maalum wa unaolenga kina mama wachanga waliohitimu shule ya upili, kwa kuwapa namna ya kujikimu na kuwaepusha na unyanyapaa kutoka kwa wanajamii. Laura Otieno anaangazia mafunzo endelevu wanayopata kina mama hao wachanga.