Skip to main content
Skip to main content

Wito watolewa kwa IPOA kumulika utendakazi wa maafisa wa polisi mjini Busia

  • | NTV Video
    238 views
    Duration: 2:30
    Wito umetolewa kwa mamlaka huru ya kutathmini utendakazi wa polisi nchini (IPOA) kumulika utendakazi wa maafisa wa polisi mjini Busia. Hii ni baada ya watu wasiopungua wawili kuaga dunia kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi . #NTVAdhuhuri @FredMuitiriri Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya