9 Oct 2026 1:04 pm | Citizen TV 374 views Duration: 1:35 Wizara ya afya inasema itaanza kusambaza vifaa vya kukabiliana na ebola kwa vituo vya afya vilivyoteuliwa kushughulikia visa vyovyote vya ugonjwa huo hasa vya karantini kuanzia leo