Siku moja tu baada ya wakazi wa Kaunti ya Busia kueleza wasiwasi wao kuhusu mpango wa kuanzisha kituo cha karantini ya Ebola katika Hospitali ya Rufaa ya Alupe, Wizara ya Afya imejitokeza kuwahakikishia wananchi kuwa Kenya iko tayari kugundua na kudhibiti endapo kutatokea maambukizi yoyote.
#NTVWikendi @MwakaFridah @loftymatambo
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya