Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya Afya yasitisha mikutano katika mikahawa kuzuia Ebola

  • | Citizen TV
    872 views
    Duration: 2:24
    Wizara ya Afya imesitisha mikutano ya maafisa na wafanyakazi wake katika mikahawa kama hatua ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Ebola. Hata hivyo, Waziri wa Afya amesema Kenya iko salama na kwamba mikakati ya kudhibiti maambukizi imeimarishwa. Kama anavyoripoti Mary Muoki, Kaunti ya Busia bado inakabiliwa na changamoto kubwa ya kudhibiti watu wanaovuka mpaka kupitia njia zisizo rasmi.