15 Jun 2026 10:32 am | Citizen TV 167 views Duration: 1:48 Wizara ya Afya imezindua kituo cha damu cha kanda ya Kaskazini Mashariki katika jitihada za kupunguza vifo vya watoto na kina mama wakati wa kujifungua, pamoja na kukabiliana na mahitaji mengine ya dharura katika eneo hilo.