#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
Wiki mbili kabla ya shule kufungwa kwa muhula wa tatu, imebainika kwamba shule za msingi na sekondari bado hazijapokea ufadhili kutoka kwa serikali. Wakuu wa shule sasa wanaomba serikali kuachilia angalau nusu ya fedha hizo huku wakingoja kiasi kamili.
Mwenyekiti wa chama cha wakuu wa shule za msingi nchini (KEPSHA), Fuad Ali, amesema taasisi hizo zinakabiliwa na ukosefu wa fedha ambao umesimamisha shughuli nyingi shuleni. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews