Wizara ya Jinsia na Huduma za Watoto imeagiza kuanzishwa mara moja kwa mpango wa matokeo ya haraka wa siku 90 ili kukabiliana na ongezeko la visa vya dhulma ya kijinsia, utekaji nyara wa watoto na mauaji katika Ukanda wa Kati.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya