Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya maji yahakikishia kukamilika kwa bwawa la Mwache kwa wakati

  • | Citizen TV
    649 views
    Duration: 2:07
    Wizara ya Maji na Unyunyiziaji imesema ujenzi wa bwawa la Mwache katika eneo la Kinango, Kaunti ya Kwale, utakamilika kwa wakati unaofaa ili kutoa suluhu la kudumu kwa tatizo la uhaba wa maji katika kaunti za Mombasa na Kwale