8 Jul 2026 10:23 am | Citizen TV 167 views Duration: 1:54 Wakazi wa Marungu kaunti ya Taita Taveta watarajiwa kunufaika na mradi wa bwawa la maji litakalogharimu shilingi milioni 17 kutoka kwa wizara ya Utalii na wanyamapori.