Skip to main content
Skip to main content

Wizi na uharibifu Murang'a

  • | Citizen TV
    5,806 views
    Duration: 1:21
    Wafanyabiashara katika mji wa Murang’a wanakadiria hasara ya maelfu ya pesa baada ya wahuni kuvamia na kupora maduka makuu na vilevile kujaribu kupora taasisi za kifedha masaa ya usiku, katika vurugu zilizodumu hadi usiku wa manane baada ya siku nzima ya maandamano kupinga bei ya juu ya mafuta