6 Oct 2026 10:20 am | Citizen TV 392 views Duration: 2:18 Shirika la usambazaji umeme, Kenya Power, katika Kaunti ya Kwale limesema visa vya wizi na uharibifu wa miundombinu ya umeme vimepungua, kwani tangu mwaka uanze mpaka sasa hakujarekodi wizi wa nyaya na transfoma.