- 23,932 viewsDuration: 28:10Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa China Xi Jinping wamefanya mazungumzo yenye umuhimu mkubwa mjini Beijing. Viongozi hao wawili walizungumzia vita vya Marekani na Iran na wakakubaliana kwamba Iran haipaswi kamwe kuwa na silaha za nyuklia na kwamba Mlango wa Bahari wa Hormuz lazima ufunguliwe. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw