- 1,439 viewsDuration: 2:26Zaidi ya familia 200 zilizopoteza makao baada ya nyumba zao kubomolewa huko Buxton kaunti ya Mombasa kwa ujenzi wa nyumba za serikali wamepata afueni baada ya mwekezaji kukubali kuwatafutia makazi mapya katika awamu ya tatu ya ujenzi wa nyumba hizo.