2 Jul 2026 10:31 am | Citizen TV 3,496 views Duration: 1:42 Zaidi ya makatibu 20 wakagua miradi ya nyumba za nafuu katika jiji la Nairobi, ambapo walielezea azma ya serikali kuhakikisha kuwa kila mkenya aishi kwenye makao bora.