Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya vijana 100 Turkana walalamika wakidai hawajapata pesa zao Sh22,000 kutoka mpango wa Nyota

  • | NTV Video
    240 views
    Duration: 1:38
    Zaidi ya vijana 100 kutoka kaunti ya Turkana waliokuwa wamesajiliwa katika mpango wa Nyota iliyozinduliwa mjini Eldoret na Rais William Ruto, wamejitokeza kulalamika wakidai hawajapokea pesa zao shilingi elfu 22 kwa simu zao kama ilivyotarajiwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya