- 7,112 viewsDuration: 2:42Zaidi ya waandamanaji 22 wamekamatwa leo katika mtaa wa Githurai 45 baada ya kutatiza shughuli za usafiri kwenye barabara kuu ya Thika. Kwa zaidi ya saa sita, vijana walikabiliana na polisi waliofika kufanya doria, huku kukishuhudiwa mivutano kati ya waandamanaji na maafisa wa usalama waliojaribu kudhibiti hali hiyo.