- 2,842 viewsDuration: 2:24Zaidi ya wahamiaji 2,500 tayari wamerejea makwao kutoka Afrika Kusini huku maandamano yakiongezeka dhidi ya wahamiaji wasio na hati halali za kuishi nchini humo. Polisi nchini Afrika Kusini walikamata watu 900 wakati wa maandamano ya Jumanne. Wakati huo huo, serikali ya Kenya inaendelea kuwarejesha raia wake, huku Wakenya wengine 46 wakitarajiwa kuwasili nchini usiku huu. Kufikia sasa, jumla ya Wakenya 102 tayari wamewasili nchini, kama anavyoarifu Emily Chebet.