- 248 viewsDuration: 2:53Askofu wa kanisa la Full Gospel Bungoma ametoa wito wa subira kuhusiana na mswada uliopendekezwa wa kudhibiti makanisa, akiwaomba wakristo kuiombea serikali na kudumisha amani huku taifa hili likiadhimisha msimu wa sherehe. Hizi na taarifa nyingine kemkem ni katika mkusanyiko wa dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive