Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wanachama 100 wapewa mafunzo ya kukabiliana na athari za El Niño kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    331 views
    Duration: 1:59
    Wanachama zaidi ya 100 wa kamati ya kudhibiti Majanga katika kaunti ya Tana River wamepokea mafunzo kuhusu namna ya kujihepusha na madhara ya mvua ya Elnino inayotarajiwa mwezi huu.