- 567 viewsDuration: 2:23Watoto wa kike 2,000 wenye umri wa kati ya miaka 10 na 19 waliripotiwa kupata mimba kati ya Januari na Machi mwaka huu katika kaunti ya Kajiado . Wadau wa afya na elimu wameeleza wasiwasi kuhusu ongezeko hilo, wakitoa wito wa kuimarishwa kwa elimu ya afya ya uzazi, ulinzi wa watoto na ushirikiano wa jamii ili kupunguza visa vya mimba za utotoni.