Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya watu 2,000 waanza kazi kupitia mpango wa Kazi Mashinani Kisii

  • | Citizen TV
    276 views
    Duration: 2:02
    Siku chache baada ya uzinduzi wa mpango wa Kazi mashinani katika kaunti ya Kisii watu 2000 waliofanikiwa kujiunga na mpango huo wameanza kazi katika sehemu mbalimbali kaunti hiyo.