Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya watu 389 wafikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwenye maandamano

  • | Citizen TV
    737 views
    Duration: 3:23
    Zaidi ya watu 389, wakiwemo wanafunzi kumi, wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwenye maandamano ya Alhamisi. Katika mahakama ya Milimani Law Courts, waandamanaji zaidi ya mia mbili walikana mashtaka ya kufunga barabara, huku mashtaka sawa yakifunguliwa dhidi ya waandamanaji wengine katika mahakama za Kajiado, Thika na Karatina.