- 1,405 viewsDuration: 5:28Jaji mkuu Martha Koom kaunti ya Kisii kwa shughuli ya uzinduzi wa njia mbadala ya kutafuta haki katika vituo mbalimbali vya mahakama kaunti ya Kisii. Koome vile vile atarajiwa kuandaa kikao na wadau mbalimbali wa mahakama ikiwemo viongozi wa muungano wa mawakili nchini LSK.