- 266 viewsDuration: 2:12Ziwa Kapnarok, ambalo kwa miongo kadhaa limekuwa sehemu muhimu ya historia na malezi ya wanafunzi wa shule ya upili ya St. Patrick’s Iten, sasa liko kwenye hatari ya kutoweka. Safari za mafunzo ya wanafunzi hadi ziwani humo, iliyotumika kama maandalizi ya mtihani wa KCSE, zimesitishwa baada ya ziwa hilo kukauka.