Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la usaili wa madereva Saudi Arabia lakamilika Nairobi

  • | Citizen TV
    1,097 views
    Duration: 2:45
    Zoezi la kuwafanyia majaribio madereva kwa nafasi za kazi nchini Saudi Arabia jijini Nairobi limekamilika, huku idadi kubwa ya wakenya wakijitokeza kusaka nafasi hizo za ajira. Kampuni ya M-Ajira inaendesha zoezi hilo la kusaka madereva 500 watakaoajiriwa katika taifa hilo la Ghuba. Kesho, zoezi hilo linaelekea jijini Mombasa