Utulivu warejea Mandera baada ya ugawaji wa rasilimali kwa usawa na ushirikishwaji wa jamii

  • | NTV Video
    29 views

    Kaunti ya Mandera sasa imepata afueni baada ya kipindi cha utulivu na usalama kurejea, huku uongozi wa kaunti hii ukihusisha mabadiliko haya na ugawaji wa rasilimali kwa usawa na ushirikishwaji wa jamii. kaunti hii pia imechukua hatua ya kijasiri, kukabiliana na changamoto za muda mrefu katika elimu, kwa kuanzisha masomo ya bure kwa wanafunzi wote, mpango ambao tayari umezaa matunda, katika kupunguza viwango vya ndoa za mapema miongoni mwa wasichana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya