Ageuza kibanda cha mawe kuwa jumba la ghorofa 10

  • | BBC Swahili
    1,765 views
    Wakati dunia inasema "hapa si pa kuishi", jamaa huyu mwenye ndoto zake akasema, "Ngoja niwaoneshe!" Karibu kwenye hadithi ya ajabu ya Chen Tianming, jamaa aliyekataa kuhama, akachukua kibanda cha mawe cha babu yake na kukigeuza kuwa jumba la ghorofa 10 katikati ya kijiji kilichofutwa kwenye ramani! Mwandishi wa BBC @frankmavura anatusimulia kuhusiana na dunia ya mtu aliyekataa kuishi kwenye mipaka ya kawaida akaamua kuchora ramani yake mwenyewe! #bbcswahili #makazi #historia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw