Skip to main content
Skip to main content

Orengo asisitiza maslahi hutawala siasa, akieleza ujasiri wa kusimama na Raila hadi mwisho - Fwamba

  • | TV 47
    614 views
    Duration: 4:33
    "Katika siasa, kuna jambo linaloitwa maslahi, hivyo sioni kama usaliti upo katika siasa. Pale kunapojitokeza migongano ya kisiasa ndani ya chama, wanasiasa hujiondoa na kujitafutia nafasi yao nje ya chama hicho. James Orengo ndiye aliyetoa hotuba iliyosikika zaidi, kwani alizungumzia kwa ujasiri namna alivyokuwa pamoja na Raila hadi kufikia Uhuru, wakati ambapo wengine wengi walikuwa wameingiwa na hofu." - Fwamba NC Fwamba, Mchanganuzi wa Uongozi #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __