Skip to main content
Skip to main content

Kwanini Trump anataka kuichukua Greenland kwa nguvu? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    33,731 views
    Duration: 28:03
    Ikulu ya White House inasema Rais Trump na timu yake wanazingatia njia mbalimbali kama vile kutumia jeshi ili “kuichukua” Greenland kama “kipaumbele cha usalama wa taifa”. Greenland ni kisiwa kikubwa zaidi duniani na kina ukubwa wa mara sita zaidi ya Ujerumani. Msemaji wa Rais Trump, Karoline Leavitt, alisema kwamba Donald Trump anaamini kuwa kuipata Greenland ni muhimu ili kuwazuia wapinzani wa Marekani katika eneo la Aktiki, akiongeza kuwa “kutumia jeshi la Marekani ni chaguo lililo mikononi mwa Rais wa Marekani wakati wowote kama amiri jeshi mkuu”. #trump #greenland #bbcswahili #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw