- 553 viewsDuration: 15:33Raila Odinga alipigania kuwepo kwa serikali za Kaunti Ugatuzi uliidhinishwa kupitia Katiba mpya ya Kenya Ugatuzi umehakikisha kuna maendeleo huko mashinani Kaunti 47 nchini zimenufaika kupitia fedha za umma Miradi mbali mbali imeanzishwa katika Kaunti zote Sekta kadhaa zimefanyiwa ugatuzi, ziko chini ya Kaunti Utekelezaji wa ugatuzi ulitatizwa miaka ya awali