Skip to main content
Skip to main content

Usajili wa makurutu wa KDF unaendelea huko Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    657 views
    Duration: 1:46
    Huku zoezi la kuajiri makurutu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF likiendelea katika sehemu mbalimbali nchini, vijana katika Kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza kwa wingi kushiriki kwenye shughuli ya usajili ambayo imeingia siku yake ya tatu katika eneo hilo.