Skip to main content
Skip to main content

Serikali bado haijatoa mwelekeo kuhusu bei ya mahindi Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 1:53
    Licha ya wakulima wa mahindi kupata mazao maradufu katika Kaunti ya Trans Nzoia, bado wanaendelea kutaabika kutokana na bei duni ya zao hilo kufuatia wizara ya kilimo kuchelewa kutangaza bei rasmi ya kununua mahindi, hali inayowapa nafasi madalali kuwanyanyasa wakulima.