- 466 viewsDuration: 2:09Wakaazi wa Kaunti ya Narok waliungana na wakenya kusheherekea Mashujaa dei huku wakipongeza serikali kuu kwa kumuenzi Raila Odinga kwa kumtunuku hadhi ya heshima ya juu zaidi kwa kiongozi wa serikali na pia kuhakikisha kuwa maombolezi yake yanafanyika kwa siku saba huku bendera zikipepea nusu mlingoti.