- 211 viewsDuration: 3:22Kadri athari za mabadiliko ya tabianchi zinavyoendelea kushuhudiwa katika maeneo mengi nchini, wakenya wengi wanakabiliwa na uhaba wa chakula na lishe bora. Hata hivyo, wadau katika sekta ya kilimo wamekuwa wakihamasisha mbinu bora za kilimo zinazolenga kuongeza uwezo wa wakulima kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ili kuboresha uzalishaji, lishe na kipato chao.