Skip to main content
Skip to main content

Benki ya CIB kupanua huduma zake nchini Kenya

  • | KBC Video
    127 views
    Duration: 2:43
    KAPU LA BIASHARA Benki ya Kimataifa ya Commercial (CIB) inadhamiria kutumia utaratibu mpya wa utoaji mikopo kwa wafanyabiashara kwa kuzingatia mtaji wao badala ya mfumo wa awali uliojikita kwenye dhamana ya mikopo. Afisa wa masuala ya fedha wa benki ya CIB Islam Zekry amesema kuwa benki hiyo yenye makao yake makuu nchini Misri inanuia kutumia mfumo huo kwa nia ya kupanua shughuli zake humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive