Wagombea Urais Wahimizwa Kuteua Wanawake kuwa Wagombea Wenza Kabla ya Uchaguzi wa Agosti

  • | KBC Video
    15 views

    Vuguvugu la wanawake linalojiita shirika la wapatanishi limewataka wagombea urais wawateue wanawake kuwa wagombea wenza kabla ya uchaguzi wa Agosti 9. Wakiongozwa na kinara wao Dkt Jennifer Riria, kundi hilo chini ya kampeni ya “chagua mama” linasema kuwa kuwapa wanawake wadhifa wa naibu rais utahakikisha ujumuishaji katika nyadhifa za uongozi zikiwemo zile za kiuchaguzi na uteuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #UlingowaSiasa