Je bidhaa za nyanya zinatokana navibarua wanaotumikishwa?

  • | BBC Swahili
    254 views
    Uchunguzi wa BBC Eye uliofanyika kwa mwaka mmoja umebaini bidhaa za nyanya zinazotokana na nyanya zinayozalishwa kwa kutumia vibarua wanaotumikishwa huko Xinjiang, magharibi mwa China, zinauzwa katika maduka makubwa ya Uingereza na Ulaya, bila wateja kuwa na ufahamu. BBC Eye imeangazia vibarua wanavyoshurutishwa kufanya kazi katika mashamba ya nyanya ya Xinjiang na jinsi bidhaa za nyanya (Tomato Paste) inavyouza katika maduka yetu. #bbcswahili #China #Xinjiang Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw