Kampuni ya Safaricom yaadhimisha miaka 18 ya M-PESA

  • | Citizen TV
    112 views

    Baada ya siku sita katika maeneo ya bonde la ufa, msafara wa MPESA sokoni umetua mlima kenya.Msafara ukitarajiwa kuzuru kaunti za Kiambu, Muranga na Nyeri kama njia ya kuadhimisha miaka 18 ya huduma za mpesa nchini na wateja wa safaricom mashinani