Ruto aongoza kuzinduliwa kwa rangi na kupokezwa kwa bendera ya kambi ya Wajir ya jeshi la wanahewa

  • | K24 Video
    76 views

    Rais William Ruto leo aliongoza kuzinduliwa kwa rangi na kupokezwa kwa bendera ya kambi ya Wajir ya jeshi la wanahewa. Tukio hilo la kijeshi lilifanyika wakati wa sherehe za sikukuu ya Jamhuri zilizoongozwa na rais Ruto , Uhuru Gardens.