Skip to main content
Skip to main content

Wananchi wa kijiji cha Raap wameanza safari ya kurejesha ardhi yao ya malisho

  • | NTV Video
    136 views
    Duration: 3:08
    Wananchi wa kijiji cha Raap, wadi ya Oldonyiro katika Kaunti ya Isiolo wameanza safari muhimu ya kurejesha ardhi yao ya malisho iliyoharibika vibaya kutokana na mmomonyoko mkali wa udongo uliosababisha mashimo makubwa ya ardhi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya