Mchimba mgodi afariki huku wengine 18 wakiokolewa baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka

  • | K24 Video
    12 views

    Mchimba mgodi amefariki huku wengine 18 wakiokolewa baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka wakiwa katika shughuli ya kuchimba dhahabu katika kijiji cha Museno eneo bunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega. Katika mkasa huo wa jana jioni, wachimba mgodi 20 waliporomokewa na mchanga. Wanane waliokolewa hiyo na wengine 12 walikwami.