Trump: Marekani inaweza 'kuichukua' Gaza
Rais Donald Trump amesema kuwa watu wa Palestina wanaweza kuhamishwa katika mataifa mengine huku Marekani ikichukua Gaza ili kuondoa mabomu ambayo hayajalipuka, kujenga upya na kuendeleza upya eneo hilo kiuchumi.
Alikuwa katika mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambaye alisema wazo la Trump "linafaa kupewa kipaumbele".
Ukanda wa Gaza umezungukwa na Israel, Misri na Bahari ya Mediterania.
Tarehe 7 Oktoba 2023, Hamas ilishambulia Israeli na kuua watu wapatao 1,200 na kuchukua zaidi ya mateka 250.
Hii ilisababisha mashambulizi ya kijeshi ya Israel ambapo zaidi ya watu 47,400 wameuawa, kwa mujibu wa wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas.
#bbcswahili #marekani #trump
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
16 Jul 2025
- Parliament notably impeached Ruto's deputy Rigathi Gachagua.
16 Jul 2025
- Malala was ousted from UDA in 2024.
16 Jul 2025
- It is the only reserve in the world to be awarded the record.
16 Jul 2025
- Police from Kilifi Police have nabbed a suspected drug trafficker following a tip from members of the public from Kibaoni area in Kilifi Sub-County. Acting on the tip, they launched a swift operation and laid out an ambush and successfully managed to…
16 Jul 2025
- The deported men are nationals of Vietnam, Laos, Yemen, Cuba and Jamaica.
16 Jul 2025
- The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has invited prequalification bids from Chinese contractors for the expansion of the Pangani–Muthaiga–Kiambu–Ndumberi Road, following a financing deal from China’s Export-Import (EXIM) Bank.
16 Jul 2025
- The labor minister in economically depressed Cuba resigned Tuesday amid an uproar over her claim that people rummaging through garbage cans were only pretending to be poor and not truly desperate.
16 Jul 2025
- Nigeria's former President Muhammad Buhari was buried on Tuesday in the backyard of his home in northern Katsina state, as residents climbed trees to bid farewell to the 82-year-old.
16 Jul 2025
- Parliament notably impeached Ruto's deputy Rigathi Gachagua.
16 Jul 2025
- Malala was ousted from UDA in 2024.
16 Jul 2025
- It is the only reserve in the world to be awarded the record.
16 Jul 2025
- The staff have been given one month's notice.
16 Jul 2025
- Israeli strikes on the Bekaa Valley in eastern Lebanon killed 12 people on Tuesday, Lebanese state media reported, as the Israeli army said it hit Hezbollah targets in the area.