- 854 viewsViongozi wakuu wa dunia wanakutana kujadili masuala ya AI mjini Paris ambako mazungumzo ya kidiplomasia yenye changamoto yanatarajiwa wakati ambapo makundi ya teknolojia yanapigania utawala katika sekta ya teknolojia inayosonga kwa kasi. Wakuu wa nchi, viongozi wa juu wa serikali, wakurugenzi wakuu na wanasayansi kutoka nchi 100 wanashiriki katika mkutano wa kimataifa wa siku mbili unaoanza leo Jumatatu. Wahudhuriaji wakuu ni pamoja na Makamu Rais wa Marekani JD Vance, katika ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu aingie madarakani, na Makamu wa Waziri Mkuu wa China, Zhang Guoqing. Tunaishi katika mapinduzi ya teknolojia na kisayansi ambayo hatujawahi kuyaona, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisema Jumapili katika televisheni ya taifa ya Ufaransa. Ufaransa na Ulaya lazima zichukue fursa kwa sababu AI itatuwezesha kuishi vizuri, kujifunza vizuri, kufanya kazi vizuri, kujihudumia vizuri, na ni juu yetu kuiweka akili mnemba katika utoaji huduma ya binadamu, alisema. - VOA. #akilimnemba #ai #ufaransa #mkutano #teknolojia #makamurais #marekani #jdvance #voa #voaswahili
Makamu wa Rais JD Vance ahudhuria mkutano wa AI Ufaransa
- - Tamati ››
- 16 Jun 2025 - The High Court in Isiolo issued an order stopping the impeachment of Governor Abdi Guyo pending hearing and determination of the case before it.
- 16 Jun 2025 - Four senior police officers charged in baby Samantha Pendo’s murder case have been granted a cash bail of Ksh.1 million shillings and two sureties of Ksh.500,000 each.
- 16 Jun 2025 - This is after DIG Eliud Lagat stepped aside from his position on Monday
- 16 Jun 2025 - On Monday, Lagat stepped aside pending investigations into the death of Albert Ojwang
- 16 Jun 2025 - The drama in the county has seen some leaders who backed the motion flee.
- 16 Jun 2025 - School heads have been urged to strictly adhere to the orders.
- 16 Jun 2025 - Deputy Inspector General (DIG), Kenya Police Service Eliud Kipkoech Lagat has resigned.
- 16 Jun 2025 - Deputy Inspector General (DIG), Kenya Police Service Eliud Kipkoech Lagat has resigned.
- 16 Jun 2025 - The two officers maintain that they had no involvement in Ojwangs alleged killing, stating they were not on duty when he was booked into the Central Police Station on June 7, 2025.
- 16 Jun 2025 - Governor Wanga pledged to construct a two-bedroom house for the family