MSIMU WA MITIHANI
Mitihani minne ya elimu ya umilisi yaanza
Mitihani inahusisha utathmini wa wanafunzi
Watahiniwa ni wa Gredi-6, Gredi-9, elimu maalum
Wengine wanaotathminiwa ni wa vyuo vya kiufundi
Wanafunzi zaidi ya milioni 3.4 wanashiriki kwenye mitihani
Hii ndiyo idadi kubwa zaidi ya watahiniwa humu nchini
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive