- 166 viewsRaila Odinga mwanasiasa mashuhuri na mzoefu nchini Kenya aliyepania kunyakuwa nafasi ya uongozi wa kiti cha Tume ya Umoja wa Afrika licha ya umaarufu wake na kampeni kali aliyoifanya alishindwa kushinda uchaguzi huo. Katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, viongozi wa Afrika walimchagua Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Ali Youssouf, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Youssouf alishinda nafasi hiyo baada ya kuwabwaga wagombea wengine wawili: Raila Odinga, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, na Richard Randriamandrato, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar. Ungana na mwandishi wa VOA, Kenya, Zainab Said akikuletea mtiririko wa mambo mbali mbali yanayo elezwa na wachambuzi na wananchi wa Kenya kuhusu safari yake ya kisiasa na vipi imeweza kuchangia kuanguka kwake katika uchaguzi huu. Endelea kusikiliza... #AU #umojawaafrika #railaodinga #kenya #addisababa #djibouti #mahmoudaliyoussouf #uchaguzi #mwenyekiti #tume #williamruto #voaswahili
Nini kilichochangia Raila Odinga kushindwa uchaguzi wa AU
- 1 May 2025 - Ukraine expects to sign a much-anticipated minerals deal with the United States in "the next 24 hours", Prime Minister Denys Shmygal said Wednesday, as both sides finalised details.
- 1 May 2025 - Israeli Defence Minister Israel Katz ordered troops to deploy on Wednesday to support firefighters battling rapidly spreading wildfires near Jerusalem, calling the situation a "national emergency".
- 1 May 2025 - US President Donald Trump said Wednesday he was considering legal action against the New York Times, in his latest attack on a major media outlet.
- 1 May 2025 - The government is revving up revenue collection efforts with increased pursuit of businesses and the creative economy to meet its tax targets. It has warned that a significant number of companies in the country risk losing their registration permits,…
- 1 May 2025 - VC with nine lives as Prof Paul Wainaina returns to KU
- 1 May 2025 - Workers suffer as Atwoli 'too young' to retire at 75
- 1 May 2025 - Intrigues on Gachagua's party and fate of allied MPs
- 1 May 2025 - Atwoli: A political wheeler-dealer disguised as the workers' defender
- 1 May 2025 - Cost of living: How salaries have changed since last Labour Day
- 1 May 2025 - Trapped abroad, silenced at home: the agony of job-seeking Kenyans