Mzozo watokota baina ya wakazi wa Lari Nyakiwa, Naivasha

  • | Citizen TV
    80 views

    Wakazi wa Olenjorai katika kaunti ndogo ya Gilgil kaunti ya Nakuru wametaka kitengo cha upelelezi na serikali kuu kuchukua hatua ya kusuluhisha mgogoro baina yao na wakaazi wa Lari Nyakiwa kuhusu umiliki wa shamba lenye ekari elfu kumi na tisa