Raila aliwania uwenyekiti wa AUC, ila akashindwa

  • | Citizen TV
    2,413 views

    Maafisa wa usalama wamemtia mbaroni mbunge wa juja George Koimburi kwa madai ya kusema kuwa serikali ilitumia shilingi bilioni 13 kumpigia debe Raila kuwania kiti cha AUC