Serikali ya kaunti ya Mombasa imezindua mpango kabambe wa utupaji takataka kwa nia ya kuimarisha usafi wa jiji hilo mbali na kubuni nafasi za ajira. Waziri wa mazingira na maji wa kaunti ya Mombasa, Kibibi Abdallah, amesema vijana wapatao 500 tayari wameajiriwa kwenye awamu ya majaribio ya mpango huo. Vijana hao watapokea vijigari vya tuktuk ambavyo watatumia kukusanya takataka mitaani na kuipeleka kwenye majalala.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive